Interesting.Salam wakuu..
Ukifikiria kwa kina,ukawaza Kana kwamba unatoka katika ulimwengu tunaoishi...mwisho kabisa utakutana na kiza,Giza zito.japo ni mawazo lakini hutaweza kuendelea mbele zaidi(hebu na wewe jaribu...ni kweli?)
Chochote anachokifikiria mwanadamu kiuhalisia ni Cha kweli kabisa,kipo.... chochote kile
Kwasababu haiwezekani ufahamu wa mtu kuwaza kisichokuwepo..haiwezekani hata kidogo na Kama huamini maana yake unajipinga wewe mwenyewe!!
Mfano katika suala la uwepo wa viumbe waliopewa jina Kama Aliens...wapo!!wanaishi,je inawezekanaje akili ya mwanadamu kuwaza kitu kisichokuwepo???? Haiwezekani!!
Usiwe mvivu wa kufikiri(situkani,ni tahadhari tu).......karibu
Hapa nipo nawaza na kufikiria kwamba tiba ya coronavirus ipo long time...Salam wakuu..
Ukifikiria kwa kina,ukawaza Kana kwamba unatoka katika ulimwengu tunaoishi...mwisho kabisa utakutana na kiza,Giza zito.japo ni mawazo lakini hutaweza kuendelea mbele zaidi(hebu na wewe jaribu...ni kweli?)
Chochote anachokifikiria mwanadamu kiuhalisia ni Cha kweli kabisa,kipo.... chochote kile
Kwasababu haiwezekani ufahamu wa mtu kuwaza kisichokuwepo..haiwezekani hata kidogo na Kama huamini maana yake unajipinga wewe mwenyewe!!
Mfano katika suala la uwepo wa viumbe waliopewa jina Kama Aliens...wapo!!wanaishi,je inawezekanaje akili ya mwanadamu kuwaza kitu kisichokuwepo???? Haiwezekani!!
Usiwe mvivu wa kufikiri(situkani,ni tahadhari tu).......karibu
Imagination it's not a reality hakuna ukomo wa kufikiria Ila Kuna ukomo wa kuweza kutenda Jambo ambalo umelifikiria.Salam wakuu..
Ukifikiria kwa kina,ukawaza Kana kwamba unatoka katika ulimwengu tunaoishi...mwisho kabisa utakutana na kiza,Giza zito.japo ni mawazo lakini hutaweza kuendelea mbele zaidi(hebu na wewe jaribu...ni kweli?)
Chochote anachokifikiria mwanadamu kiuhalisia ni Cha kweli kabisa,kipo.... chochote kile
Kwasababu haiwezekani ufahamu wa mtu kuwaza kisichokuwepo..haiwezekani hata kidogo na Kama huamini maana yake unajipinga wewe mwenyewe!!
Mfano katika suala la uwepo wa viumbe waliopewa jina Kama Aliens...wapo!!wanaishi,je inawezekanaje akili ya mwanadamu kuwaza kitu kisichokuwepo???? Haiwezekani!!
Usiwe mvivu wa kufikiri(situkani,ni tahadhari tu).......karibu
Kwahivyo Mungu Mkuu yupo na anaishi.
Kwahivyo Mungu Mkuu yupo na anaishi.
Wanaowaza Mungu hayupo ni kweli? Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna ukweli na uongo! Ukweli upo(Ni kwa njia ya mawazo tu)..uongo unaishi...upo!!😊Haiwezekani kivipi? Wanaofikiri waafrika ni nyani ni kweli Kwa sababu wanafikiri? Wanaoamini ni watakatifu ni kweli since wanaamini? Lazima kuna mstari wa kipi kweli na kipi sio
Usitumie Nguvu nyingi kuwaza vitu bingine. Jiulize nafsi yako ilikuwa wapi kabla ya kuzaliwa? Itakwenda wapi banda ya kufa?. Naamini unauona mwanga wa Jua kila mara ebu waza tu Umbali wa jua na ulipo ni Mile ngapi na kawahi kufika na alipima kwa kutumia nini Joto lake?. Waza kiuhalisia tu kwani upo duniani ?.Hivi wewe ni Nani?. Nakuonya tu ukiweza kujibu haya maswali Lazima utapelekwa Milembe Hospital kwa Matibabu. Nakushauri anza kuangalia singeli za akina Meja kunta na Nyimbo za akina Nasibu Abdul. Mengine waachie Maaskofu na Mashekh.Salam wakuu..
Ukifikiria kwa kina,ukawaza Kana kwamba unatoka katika ulimwengu tunaoishi...mwisho kabisa utakutana na kiza,Giza zito.japo ni mawazo lakini hutaweza kuendelea mbele zaidi(hebu na wewe jaribu...ni kweli?)
Chochote anachokifikiria mwanadamu kiuhalisia ni Cha kweli kabisa,kipo.... chochote kile
Kwasababu haiwezekani ufahamu wa mtu kuwaza kisichokuwepo..haiwezekani hata kidogo na Kama huamini maana yake unajipinga wewe mwenyewe!!
Mfano katika suala la uwepo wa viumbe waliopewa jina Kama Aliens...wapo!!wanaishi,je inawezekanaje akili ya mwanadamu kuwaza kitu kisichokuwepo???? Haiwezekani!!
Usiwe mvivu wa kufikiri(situkani,ni tahadhari tu).......karibu
"IMAGINATION IS THE POSSIBILITY, POSSIBILITY IS THE CHANGES, AND CHANGES IS THE REALITY"