Mkuu kulikoni ?
Nawe hapa jf ni mkongwe sana na una heshimika mno,hatuoni chochote kile.
Hahahahahaha..
Farkhina
Ndio huyu mkwe wetu?
Hahahahahaha yeah ndio mwenyewe....vipi unamuonaje?
namuona kizee kama mimi, meno anayo lakini
lakini namuona kama yuko Mlandizi
mchukuwe mwenyewe wala sitokuuliza
haya kwaheri
Hahahahahaha yeah ndio mwenyewe....vipi unamuonaje?
Mkuu kulikoni ?
Nawe hapa jf ni mkongwe sana na una heshimika mno,hatuoni chochote kile.
hicho kibabu kinakuzeesha bure, wala haukipendi, utakuwa umefuata hilo gari na nyumba.