Ng'wamapalala
JF-Expert Member
- Jun 9, 2011
- 6,811
- 6,507
Tatizo ni IDs au kujibiwa hoja zako? Yes, mlalahoi and Kulikoni Ughaib are related. Former is my personal JF membership ID,latter's my blog's membership ID. Is that a treasonable offence?
Mimi sikujua kama hii ni hoja.
Unapokuwa katikati ya involuntary choice of life and harm/death halafu unapiga kelele jamii ikusaidie, sikudhani kama hiyo ni hoja kwa sababu hata nilichoandika kwangu mimi siyo hoja.
Mimi siko hapa kurumbana na wewe kwa sababu kwangu hii siyo hoja. Nilikuwa najaribu kujibu kilio chako. Tatizo unataka kutulazimisha tukubaliane na mawazo yako wakati hata hao unadai waliokugongea usiku wa manane (UK police) hawakukueleza yule anayetaka kukudhuru kimwili au psychologically.
Mkuu, Usitake kutufunga kimawazo na kama hukubaliani na scrutiny basi ungejifungia ndani ya dunia yako badala ya kuleta maisha yako hapa JF ili tujue nini kinachoendelea.
I'm sorry, kwa maisha yako kuwa hatarini but IF THIS IS NOT A MADE UP STORY. Afterall, THIS IS JAMII FORUM, WHERE PEOPLE DARE TO TALK OPENLY.
Interesting! Mkuu unaweza kuweka hapa bandiko lake lolote ili tuone kama ni tishio?
Akina Mzee Mwanakijiji wanaliza watu kila siku na wanafahamika si wangeshakuwa historia kama Stan Katabalo!
Nadhani ndugu yangu una ajenda yako binafsi.Hakuna mahala nilipopiga kelele,let alone kutamka tu, kuwa ninaomba msaada jamii inisaidie. Bandiko husika hapa JF ni matumizi ya haki yangu kama mwanachama wa ukumbi huu tangu mwaka 2006 kubandiko chochote ninachodhani kinafaa alimradi simtukani au kumkwaza mtu.
Inanishangaza unapodai kuwa upo hapa KUJIBU KILIO CHANGU.How can you respond to kilio kisicho-exist? Pia unanishangaza unapodai kuwa tatizo langu ni kutaka watu wakubaliane na mawazo yangu.Nitendee haki tafadhali.Hivi kuna mahala popote nimejaribu kumshawishi mtu aafikiane nami?
Narudia tena: sikuandika makala hiyo kwa minajili ya kutaka huruma ya mtu au kumwaminisha yeyote kuwa tukio hilo lilinitokea.Nimekuwa nikiandika makala kwa bloguni na magazetini kwa muda mrefu sasa,na kamwe sijawahi kutumia maandiko yangu kutaka kuwaaminisha wasomaji kitu wasichoamini.Actually, binafsi sijioni kama mwandishi bali a conversationalist,na maandiko yangu ni maongezi tu in printed form.
Sijakufunga kimawazo bali umeamua kwa hiari yako kufanya hivyo.Nimfunge mtu kimawazo ili iweje? And who are you to tell me what to post or not post hapa JF?
Yes,JF is allabout daring to talk openly lakini kichekesho ni kwamba pamoja na kutambua dhima hiyo uhuru wa kuongea kwa uwazi bado unajaribu kujenga impression kana kwamba nimetenda kosa la jinai kuweka bandiko husika.
Naomba sana unielewe kuwa bandiko langu halikuwa na dhamira ya ku-seek sympathy. Kadhalika, at no point, nimejaribu kumshawishi mtu yeyote yule kuamini au kutoamini nilichoeleza.So far, nilichotumia ni haki yangu ya uanachama wa JF kubandika makala ya jarida la RAIA MWEMA ambayo coincidentally inanihusu.
Nitaendelea kuheshimu uhuru wako wa kutafsiri habari hiyo kwa mtizamo wowote ule.

Kwa atakayehitaji ufafanuzi zaidi, anaweza kuomba taarifa zaidi kwa ku-cite 'Freedom of Information Act' kwa kituo cha polis cha Maryhill hapa Glasgow, UK. Namba yao ya simu ni +44-[FONT=MuseoSans_300]141-532-2000 na barua-pepe ni [/FONT]MaryhillandKelvinCommunityPolicingTeam@strathclyde.pnn.police.uk
Tupe case number Mkuu.
Mkuu, kama una nia ya dhati ya kufuatilia, ninakushauri utumie mawasiliano niliyoyaweka hapo kisha uulizie case number.Naomba tu ukumbuke kuwa katika open forum kama JF sio salama kuweka kila kitu hadharani.

Panya akitaka jina hujipitisha kwa watu. Hii ni kama hadithi ya kutunga, hata kama kungekuwa na tishio hilo hivi watu hao waliotumwa walipifika huko unakoishi waliripoti katika vituo vya polisi kuhusu kusudio lao hilo?maana anasema alikwenda ktk kituo cha polisi cha jirani kuuliza wakamthibitishia.
Kama mambo yanagoma huko msitafute vizingiziokwa kudhani eti mtapewa uraia wa huko, rudini tu home.
Maji umeyavulia nguo unashindwa kuoga?
When you come come correct, or don't come at all.
Unaalika JF nzima ije kwenye party kwako, mtu anakuuliza address yako unasua? Una nia ya kualika watu au una show off tu?
Hili suala ushaliweka public, ushaalika watu, unasua kutoa case number?
Why should I take you seriously?
Ulifikiri watu hawatauliza? Kama huna cha kuficha unaogopa nini?
Kama una cha kuficha kwa nini ulitu beep? Ona unapigiwa huna cha kusema. Ulifikiri hamna dola?
Don't half step. You are impacting your own credibility.

huyu atapata psychological disorder, paranoid personal disorder!
Case number is much better. Wakipigiwa simu, kitu cha kwanza watauliza case number.
Polisi wana kesi nyingi kwenye system yao. Case number itasadia ku-locate the case.
Kwa sentensi hiyo kwenye red huhitaji kujiuliza Chahali ni nani. Ndiyo, anajua nani anayemfuatilia, anajua technics gani wanatumia na anajua endapo atashindwa kuwamudu wanaomfuatilia huenda akadhurika yeye. Nampendea kitu kimoja, ni pro change!
Sasa mkuu,Cha kwanza kukuuliza ni jina la mhusika wa tukio la anuani yake. Case number ni suala la kati ya polisi na mhusika, NA NINAKUHAKIKISHIA HAWATOKUULIZA KUHUSU HILO.wHY NOT TRY, MKUU, BADALA YA KU-ASSUME KUWA HUTOPATA INFO BILA CASE NUMBER?
Wacha longolongo zako wewe. Huna hoja hapa!