Naandaa Semina kwa washiriki kama 60 hivi.
nataka maswali kama 10 hivi ninayoweza kuweka kwenye Evalutation form hivyo mwenye mawazo ya masawali aniwekee hapa,kama hujui acha message hii haikuhusu kwani siku hizi humu JF kila kitu unachopost watu wanaponda tu