PNC
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 8,106
- 14,352
Leo ndio leo Mtoto hatumwi sokoni katika jiji la BASEL
mida ya saa 3:45 Usiku
Liverpool vs Sevilla
Europa League Final
Niko nawe kukuletea Update
KIUFUP:
Liverpool ni ya 8 katika EPL na inahitaji ushindi kwani utawapeleka mojakwamoja UEFA msimu ujao
huku Sevilla wakiwa ni wa 7 katika la Liga na endapo wakishinda leo basi watakabidhiwa mojakwamoja kombe hilo kwani watakuwa wamechukua mara tatu mfululizo kombe hilo
Ni Fainal ya kipekee kwani itakuwa ni LA LIGA vs EPL
LIVERPOOL LINEUP
22 S. Mignolet
2 N. Clyne
4 K. Touré
6 D. Lovren
7 J. Milner
10 Philippe Coutinho
11 Roberto Firmino
15 D. Sturridge
18 Alberto Moreno
20 A. Lallana
23 E. Can
Substitutes
52 D. Ward G
9 C. Benteke
14 J. Henderson
21 Lucas Leiva
24 J. Allen
27 D. Origi
37 M. Škrtel
Sevilla Lineup
31 David Soria
3 A. Rami
4 G. Krychowiak
6 Daniel Carriço
9 K. Gameiro
15 S. N'Zonzi
18 Sergio Escudero
19 É. Banega
20 Vitolo
23 Coke
25 Mariano
Substitutes
1 Sergio Rico G
5 T. Kolodziejczak
8 Iborra
14 S. Cristóforo
21 N. Pareja
22 Y. Konoplyanka
24 Llorente
LIVERPOOL 1 SEVILA 3
D. Sturridge (G) 35'
(assist by: Philippe
Coutinho)
1 - 1 46' K. Gameiro (G)
(assist by: Mariano)
1 - 2 64' Coke (G)
(assist by: Vitolo)
1 - 3 70' Coke (G)
BALL POSSESSION 25% ya 65%
MPIRA FULL TIME
LA LIGA IMEENDELEA KUDHIHIRISHA UBORA WAKE KWANI SEVILA NI NAFAS YA 7