Cesc Henry Sn
JF-Expert Member
- Nov 8, 2012
- 217
- 123
Mara baada ya kipenga cha mwisho cha mwamuzi kwenye mechi ya kwanza kundi F ya michuano ya timu za taifa za Ulaya 2016 iliyo wakutanisha Ureno dhidi ya Iceland kwa suluhu yao ya kihistoria waliyo ipata kwa Ureno.
Nahodha wa Iceland, Aron Gunnarsson akamua kuacha kushangilia na wachezaji wenzake na kumkibilia nyota wa Ureno na klabu ya Real Madrid ili wabadilishane jezi kama kumbukumbu kubwa kwa nahodha huyo kwenye mechi hiyo iliyo kuwa ya kwanzai kwenye kundi lao.
Baada ya harakati nyingi za kumshtua Ronaldo lakini wala nyota huyo hakuonekana kutaka kushughulika na nahodha wa Iceland hadi alipo geuka na kuombwa wabadilishane jezi lakini bado alionekana kuto taka kubadilishana na nahodha huyo wa Iceland.
Unaweza kucheck tukio ilivyo kuwa: