Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,545
- 15,781
Halipikiki na mazingira lililopo na kwa maanabnyingine ni UCHAFU.
Ila zuri sana, sema lipo kama Mtoto YATIMA....... Baada ya miaka kadhaa mbele, litapata wenza, maybe!!!!
Sometimes huwa naamini kiswahili ni kigumu maana sijui umemaanisha nini?
Nzuri sana.developer of the tower was Eureka Tower Pty Ltd, a joint venture consisting of Daniel Grollo (Grocon), investor Tab Fried and one of the Tower's architects Nonda Katsalidis.
Nzuri sana.
Ila nauliza tu kama huyo architect Nonda ni ndugu wa Nonda wetu tunayemjua!
Wenye kujua tafadhali
Sometimes ni neno la kiswahili kumbe? Inabidi uwe umesomea UJENZI, kujua tofauti ya PIPE na CONDUIT.
Pamoja na kufanyia marekebisho post yako bado tena umekosea.Aisee kiswahili ni kigumu
Sometimes huwa naamini kiswahili ni kigumu maana sijui umemaanisha nini?
Naona kama mjengo umekosa nafasi stahiki.