Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,034
- 107,533
US pekee? Why not Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?Muungano imara duniani umebaki ule wa US peke yake. Ule wa USSR ndio ulikuwa wa hovyo zaidi kupata kutokea.
Hata marekani ipo siku kitanuka hasa ikitoka kwenye super power tena itakuwa ni hatari kuwahi kutokea dunia ogopa sana mataifa yaliungwa kwa vipande vipandeMuungano imara duniani umebaki ule wa US peke yake. Ule wa USSR ndio ulikuwa wa hovyo zaidi kupata kutokea.
Mpuuzi kweli wewe, muungano wa Jamhuri ya Tanzania unataka kuufananisha na US?US pekee? Why not Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Mpuuzi ni wewe na wanaokuleaMpuuzi kweli wewe, muungano wa Jamhuri ya Tanzania unataka kuufananisha na US?