EU yahoji tena ushindi wa JK. Yataka tume huru ya uchaguzi, wagombea binafsi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

EU yahoji tena ushindi wa JK. Yataka tume huru ya uchaguzi, wagombea binafsi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Fareed, Feb 11, 2011.

 1. F

  Fareed JF-Expert Member

  #1
  Feb 11, 2011
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0  Jumuiya ya Ulaya leo imetoa ripoti kamili ya uchaguzi wa Tanzania 2010. Pamoja na mabo mengine, imetilia mashaka ujumlishaji wa kura (uchakachuaji) uliofanywa na Tume ya Uchaguzi (NEC). Pia imetaka kampeni zipunguzwe mpaka iwe mwezi mmoja tu. Kwa ufupi, EU wanatilia mashaka ushindi wa Kikwete na CCM na wanataka sheria ibadilishwe ili matokeo ya kura za Rais yaweze kupingwa mahakamani.

  Ifuatayo ni taarifa kamili:


   
 2. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #2
  Feb 11, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Are they for real? Unfortunately they will wait until poor citizens march on the roads to claim their lost freedom and plight! In the meantime, they (EU), will try to maintain warm ties? with the current regime no matter how dissatisfied people are with the status quo.
   
 3. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #3
  Feb 11, 2011
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Ahsante kwa taarifa mkuu Fareed, Hiyo website ya kupata report wanaJF mbona inanipa restriction. Mwenye access nayo atusaidie tuweze kuiona.
   
Loading...