EU yachanganyikiwa! Wanakataa nini na wanakubali nini?

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
13,663
18,037

EU to boost Russian gas imports through countries willing to pay in rubles – media​

The EU seeks to make up for a gas supply shortfall in member states that refuse to comply with Russian ruble requirement
EU to boost Russian gas imports through countries willing to pay in rubles – media

© Getty Images / DarioEgidi
The European Union plans to significantly increase the purchase of Russian natural gas through countries that are ready to pay for the commodity in rubles, TASS news agency reported on Wednesday citing a government source in Brussels.

Hii imekaaje? Nchi moja ya EU haikubali kununua gesi moja kwa moja toka urusi kwa kutumia ruble. Lakini inaiomba nchi ya jirani inayokubali kununua kwa ruble imnunulie pia! Lakini kwa bei ya juu zaidi maana itachukua gesi tika kwa mtu wa kati ambaye ataongeza cha juu!! Kama si kuchanganyikiwa ni nini?

Getty Images / DarioEgidi

Tatizo wanaona aibu kukiri kwamba vikwazo walivyomuwekea mrusi,vinawaumiza wao kuliko vinavyomuumiza mrusi

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Ila kiburi ni kibaya! Chuki ni mbaya sana! Chuki ya Poland kwa urusi inatisha! Poland inaona ni vizuri kutumia gesi ya Urusi, lakini inaona ni vibaya sana Urusi kutumia fedha ya Poland kwa malipo ya gesi!! Poland wako tayari walipe pesa zaidi kwa ujerumani ili kupata gesi hiyo hiyo toka urusi lakini kupitia Ujerumani!! Wanaona afadhali kidogo kwa kuwa hawakumpa pesa urusi moja kwa moja!!

Labda wengine hawajaelewa, iko hivi Poland tayari imetumia gesi ya urusi kuanzia tarehe moja april lakini gesi yote hiyo imekataa kuilipia!! Maana ilijua tangu mwanzo kuwa inatakiwa kulipiwa kwa ruble!! Poland wametumia gesi hiyo huku wakijua kuwa hawako tayari kuilipia, huo ni wizi!!

Poland wanataka walipie kwa euro kwa utaratibu wa zamani huku wakijua kuwa wakifanya hivyo urusi hawezi kuitumia pesa hiyo maana benki za urusi zimezuiwa kufanya miamala inayohusisha euro au dola. Kinachomuuma Poland ni kuwa Urusi itaendelea kufaidi pesa za mauzo ya gesi yake!! Nimeshindwa kuielwa Poland na moyo wake huo mgumu sana!!
 
Four European countries have already made gas payments to Russia using Moscow’s new ruble-based mechanism, Bloomberg reported Wednesday citing a source close to Gazprom.

At least 10 countries have set up ruble accounts with Russia’s Gazprombank
IMG_6677.jpg

Euro Slumps To 5-Year LOW Amidst Russian Energy Supply Fears

The Euro has sunk to its lowest value against the US dollar (1.0616) since April 2017, with trends suggesting it will end the month below its 20-year uptrend.

Investor uncertainty over Russian energy supplies have been heightened since Gazprom’s move to block gas to Poland and Bulgaria over refusal to pay in rubles on Wednesday, while dollar gains have added to the currency’s drop.

Subscribe to RT t.me/rtnews

Kazi wanayo!
 
Ila kiburi ni kibaya! Chuki ni mbaya sana! Chuki ya Poland kwa urusi inatisha! Poland inaona ni vizuri kutumia gesi ya Urusi, lakini inaona ni vibaya sana Urusi kutumia fedha ya Poland kwa malipo ya gesi!! Poland wako tayari walipe pesa zaidi kwa ujerumani ili kupata gesi hiyo hiyo toka urusi lakini kupitia Ujerumani!! Wanaona afadhali kidogo kwa kuwa hawakumpa pesa urusi moja kwa moja!!

Labda wengine hawajaelewa, iko hivi Poland tayari imetumia gesi ya urusi kuanzia tarehe moja april lakini gesi yote hiyo imekataa kuilipia!! Maana ilijua tangu mwanzo kuwa inatakiwa kulipiwa kwa ruble!! Poland wametumia gesi hiyo huku wakijua kuwa hawako tayari kuilipia, huo ni wizi!!

Poland wanataka walipie kwa euro kwa utaratibu wa zamani huku wakijua kuwa wakifanya hivyo urusi hawezi kuitumia pesa hiyo maana benki za urusi zimezuiwa kufanya miamala inayohusisha euro au dola. Kinachomuuma Poland ni kuwa Urusi itaendelea kufaidi pesa za mauzo ya gesi yake!! Nimeshindwa kuielwa Poland na moyo wake huo mgumu sana!!
Baniani mubaya kiatu chake dawa...
 
EU to boost Russian gas imports through countries willing to pay in rubles – media​

The EU seeks to make up for a gas supply shortfall in member states that refuse to comply with Russian ruble requirement
EU to boost Russian gas imports through countries willing to pay in rubles – media

© Getty Images / DarioEgidi
The European Union plans to significantly increase the purchase of Russian natural gas through countries that are ready to pay for the commodity in rubles, TASS news agency reported on Wednesday citing a government source in Brussels.

Hii imekaaje? Nchi moja ya EU haikubali kununua gesi moja kwa moja toka urusi kwa kutumia ruble. Lakini inaiomba nchi ya jirani inayokubali kununua kwa ruble imnunulie pia! Lakini kwa bei ya juu zaidi maana itachukua gesi tika kwa mtu wa kati ambaye ataongeza cha juu!! Kama si kuchanganyikiwa ni nini?

EU to boost Russian gas imports through countries willing to pay in rubles – media​

The EU seeks to make up for a gas supply shortfall in member states that refuse to comply with Russian ruble requirement
EU to boost Russian gas imports through countries willing to pay in rubles – media

© Getty Images / DarioEgidi
The European Union plans to significantly increase the purchase of Russian natural gas through countries that are ready to pay for the commodity in rubles, TASS news agency reported on Wednesday citing a government source in Brussels.
Yaani ninaenda dukani kwa mangi kununua mkate halafu ninasimama pembeni ninampa mtu hela aninunulie!!
 
Hapana, ananunua halafu anakuuzia na anakula cha juu
naam, wewe ndo umeiweka vizuri!! Tatizo haya ni maamuzi ya wanasiasa halafu hawajali wananchi/walaji wanaumia kiasi gani!! Poland anajiandaa kununua LNG (liquefied natural gas) toka marekani kwa bei mara tatu zaidi kuliko bei ya gesi ya urusi!! Hiyo akili yake huwezi kuielewa!!
 
EU to boost Russian gas imports through countries willing to pay in rubles – media​

The EU seeks to make up for a gas supply shortfall in member states that refuse to comply with Russian ruble requirement
EU to boost Russian gas imports through countries willing to pay in rubles – media

© Getty Images / DarioEgidi
The European Union plans to significantly increase the purchase of Russian natural gas through countries that are ready to pay for the commodity in rubles, TASS news agency reported on Wednesday citing a government source in Brussels.

Hii imekaaje? Nchi moja ya EU haikubali kununua gesi moja kwa moja toka urusi kwa kutumia ruble. Lakini inaiomba nchi ya jirani inayokubali kununua kwa ruble imnunulie pia! Lakini kwa bei ya juu zaidi maana itachukua gesi tika kwa mtu wa kati ambaye ataongeza cha juu!! Kama si kuchanganyikiwa ni nini?

EU to boost Russian gas imports through countries willing to pay in rubles – media​

The EU seeks to make up for a gas supply shortfall in member states that refuse to comply with Russian ruble requirement
EU to boost Russian gas imports through countries willing to pay in rubles – media

© Getty Images / DarioEgidi
The European Union plans to significantly increase the purchase of Russian natural gas through countries that are ready to pay for the commodity in rubles, TASS news agency reported on Wednesday citing a government source in Brussels.
IMG-20220224-WA0016.jpg
 
Sema nini Russia sio Zimbabwe na hii vita wanapigana wote wanaakili kwaiyo tegemea maumivu kwa wote
 
Back
Top Bottom