EU wameiondoa gesi ya Urusi katika vikwazo

Sikubaliani na wewe hapa issue ni kutafuta uwiano Kwa maswala ya kidunia mabeberu wa ulaya na America wanaona ni wamiliki wa dunia Ilhali hata waafrika wenye akili ya kujitambua wanaliona hili,na pia wapotayari kuungana na wanaopinga ubeberu huu na kutaka kuona usawa katika dunia hii🤔
 
Kwa iyo Urusi anapinga ubeberu mkuu? Tuanzie hapa
 
Kwahiyo unamaanisha kwamba vita wanavyopigana wazungu ni kwa ajili ya kutuchezea akili waafrica
 
Kwahiyo unamaanisha kwamba vita wanavyopigana wazungu ni kwa ajili ya jutuchezea akili waafrica
Sera ya watu kufa ila wengine waitawale dunia ni ya mabeberu so jiongeze. Usione watu wanakufa ukafikiri wao hawajui wanachokifanya. Tangu wawe na Balance of power mabeberu wamekuwa na mipango mingi ya kujichimbia kileleni against third world.
 
Sasa unataka kuniambia vita vya Ukraine , target ni wewe mwafrika
 
Sasa unataka kuniambia vita vya Ukraine , target ni wewe mwafrika
Tuingie chimbo tuje na fact lkn sioni kama wao wanaathirika sana kama sisi Waafrika. Hii vita imeifanya Afrika kuwa muathirika wa kwanza kutokana na ukuwa na uchumi usiojitegemea wenyewe. Beberu sio mtu na kila anayethubutu kumng'ata anafukiwa ardhini. Usijidanye kuwa Putin yupo against Mabeberu ni kosa kubwa kufikiria hivyo.
 
Bila gesi ulaya ni kama Ludewa tu 😂
 
Shame
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…