EU wameiondoa gesi ya Urusi katika vikwazo

Duh wanaume mnafika huko?
Aaaah kaeni chini myamalize,,,,,hamjifunzi kitu Toka EU wanamalizana na Urusi kuhusu gesi ingawa walisusa wenyewe[emoji1787]
... huyo jamaa ana matatizo Mkuu.
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Wanachagua resources za kuweka vikwazo, !? Inachekesha sana [emoji28]

Anyway kama wao hawachagua gesi yetu sisi Russia kuwa sehemu ya vikwazo , basi sisi wenyewe Russia Kwa kuwa gesi ni yetu tuta wawekea vikwazo hakuna kutumia gesi hiyo mpaka Akili iwakae sawa , mwaka huu watakufa Kwa baridi na kwambia si- walijifanya kuvamia msitu na kiwembe ,[emoji16]
 
Ouch ouch [emoji16][emoji16][emoji16]

Russia wanajua kunipa Raha mbwa mie [emoji16]
 
Sisi gesi time mkabidhi mchina. Hatutaki kuumiza kichwa kama Mrusi.
 
Urusi ndie mwenye hasara kubwa. kapoteza askari,silaha na biashara kubwa...
Lengo LA wanajeshi vitani ni kufa na kupona,pia urusi haangalii faida ya muda mfupi,anaitazamia Russia itakapo kuwa miaka ijayo. Biashara iharibike,wanajeshi wafe,silaha ziharibike hayo ni madogo,makubwa ni Russia atamalaki after some years.
 
Unajua Wasomi wa Kiafrika ni wapuuzi sana. Badala ya kujadili objectictives za hii vita wao wanashangilia kama mpira wa miguu(u simba na u yanga🤣🤣)

Hawa mabeberu wametuchezea mind Game kwenye Corona tukaingia mkopo wa kufa mtu. Dunia imehamia kwao tena baada ya kuona nchi nyingi za kiafrika zinakomaa na sera ya kujibeba kiuchumi wao kwa wao. Kupitia mikopo ya kupambana na Corona Afrika tumepigiwa pasi ndefu na kamwe hatuwezi kuifikia na kufunga goli la kiuchumi.

Hii vita pia sisi Afrika tumeingia katika marumbano na tawala zetu. Issues kama kupanda kwa bei ya mafuta na bidhaa mbalimbali zimezua sintofahamu katika siasa zetu za ndani.

Hawa mabeberu hawaoni hasara kuanzisha vita kwa lengo la kuididimiza Afrika kwa miaka nenda rudi. Wao hakuna hasara wanayoipata na ifahamike hivyo.

Over......
 
Lengo LA wanajeshi vitani ni kufa na kupona,pia urusi haangalii faida ya muda mfupi,anaitazamia Russia itakapo kuwa miaka ijayo. Biashara iharibike,wanajeshi wafe,silaha ziharibike hayo ni madogo,makubwa ni Russia atamalaki after some years.
Haya ni mawazo yako...Ukweli hawakutegemea ilivyo sasa.
 
Lengo LA wanajeshi vitani ni kufa na kupona,pia urusi haangalii faida ya muda mfupi,anaitazamia Russia itakapo kuwa miaka ijayo. Biashara iharibike,wanajeshi wafe,silaha ziharibike hayo ni madogo,makubwa ni Russia atamalaki after some years.
Nahuo unaitwa uzalendo wakweli Kwa taifa na Dunia,na SII uzalendo wa Beberu America na Ulaya 🏃🏃🏃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…