EU Transport Ministers sign a declaration on cycling as a climate friendly transport mode

EU Transport Ministers sign a declaration on cycling as a climate friendly transport mode

angeacha vingola ndo angebana matumizi vizuri na kupunguza hewa ukaa...otherwise ni usanii tu
 
MziziMkavu tatizo hapa kwetu mfumo wa matumizi ya baiskeli siyo rafiki, so Mimi kama mimi 'SIAFIKI' matumizi ya huo usafiri hapa kwetu.
nifah haitokuja kutokea hao kutumia, soma hiyo juu!
Umesahau sasa hivi watu wapo kwenye attention seeking?
 
Last edited by a moderator:
Matumizi gani yanayobanwa wakati hao wanaomsindikiza kwa ving'ora wapo ktk pikipiki au hazitumii mafuta??????
 
Watumie hata magari, lakini sio zile by four by far by whatever kwa matumizi ya kilomita chache tu ...
 
Mbona hizo pikipiki zinatumia mafuta mengi kuliko gari.
 
Hata hapa sweden kuna wanao panda hadi puplic transport na wako na masiha ya kawaida kama wananchi wengine na hawana hata walinzi
 
Kwa ulaya ni kitu cha kawaida Waziri kupanda baiskeli kwenda nayo ofisini kwa Afrika itakuwa ni jambo geni kwetu.


attachment.php




attachment.php
 

Attachments

  • F-Bausch.jpg
    F-Bausch.jpg
    20.3 KB · Views: 137
  • francois_bausch.jpg
    francois_bausch.jpg
    30.2 KB · Views: 153
Tatizo siyo watawala wetu bali sisi wenyewe. Watu wakisikia kuwa Waziri anakuja wazo lao huwa ni jinsi gani atateremka toka kwenye shangingi, akija na baiskeli huo ndiyo utakuwa mwisho wa kuheshimiwa!! Mara nyingi hata kwenye kura za maoni kwenye vyama vyetu, walio na magari mazuri ndiyo hupewa kipaumbele.
 
Back
Top Bottom