Mbowe amesaliti watanzania.. lazima ahahe juu chini kujaribu kuonyesha kuwa wameshinda japo ukweli anaufahamu..
Nimejitahidi kufuatilia matokeo ya kura Tunduma yaliyotangazwa na NEC sijayaona. Mwenye uhakika NEC wametangaza Tunduma atuwekee hapa. Na kama haya jatangazwa.
Ningeshauri Kova awachukue EU watazamaji wamfuate Mbowe awaambie hizo kura za Tunduma alizotaja kazitoa wapi na zimetangazwa na NEC ipi ya CHADEMA ama NEC ya Taifa.
Na kama NEC ya Taifa ndo imetangaza basi Mbowe alete mawakala wote wa vyama hivyo copy yake na aoneshe mbele ya media.
Acheni UONGO. Tunduma imetangazwa saa ngapi?
HIVI HAMJACHOKA TU KUSEMA UONGO.
Muulizeni, maana wengi wenu ni wafuata Mkumbo, hamuendi kwa facts.Sasa kama haijatangazwa - Mbowe kayapata wapi hayo matokea? Hivi hii nchi haina sheria za makosa ya uchochezi?
Muulizeni, maana wengi wenu ni wafuata Mkumbo, hamuendi kwa facts.
Nionyeshi yalitanganzwa saa ngapi na nipe link.
Haha😛😛😛Yaani wewe unasoma matokeo kupitia BBC Swahili? Pole sana..!!Hapa siyaoni, jamani chekini na ninyi na mwenye source nyingine atuletee
Matokeo ya uchaguzi wa urais Tanzania yanavyopokelewa - BBC Swahili
Nimejitahidi kufuatilia matokeo ya kura Tunduma yaliyotangazwa na NEC sijayaona. Mwenye uhakika NEC wametangaza Tunduma atuwekee hapa. Na kama haya jatangazwa.
Ningeshauri Kova awachukue EU watazamaji wamfuate Mbowe awaambie hizo kura za Tunduma alizotaja kazitoa wapi na zimetangazwa na NEC ipi ya CHADEMA ama NEC ya Taifa.
Na kama NEC ya Taifa ndo imetangaza basi Mbowe alete mawakala wote wa vyama hivyo copy yake na aoneshe mbele ya media.
Yaliyotanganzwa na NEC ni 6000
Matokeo yaliyosainiwa ni haya hapa 
HahaYaani wewe unasoma matokeo kupitia BBC Swahili? Pole sana..!!