Etiii? Eweeeleee! Nipeni maujanja valentaini imenipata nomaaa.

Etiii? Eweeeleee! Nipeni maujanja valentaini imenipata nomaaa.

Mdudu Wa Masala

Senior Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
134
Reaction score
79
Wanajamvi,nimebakisha masaa machache sana ili kusherehekea eti valentine day..ya wapendanao kweli ama? Bas ishu nzima ni kuwa nimechelewa kutoka kazi na ktka hali ya kutafta japo kijiuwa cha kupeana kesho nimepata karibia maduka yote yamefungwa..bahat nzur au mbaya sjui nmepata mchuuz mmoja wa maua na ua alobakia nao ni lile lenye dizaini ya msalaba.kwa sana hupachikwa kaburini baada ya kumstiri marehemu.nifanyeje ndugu zangu? Mchuuzi yupo hapa ananisubiri...?????
 
Back
Top Bottom