Mnada wa Mhunze
Senior Member
- Mar 1, 2023
- 164
- 819
Wazanzibari wanapenda sana kupiga vitu mnada, hasa vitu vya Tanganyika."....watu wanapiga kelele tu huku hawaelewi lolote ukweli ni kwamba hata reli yetu hii mpya ukiona imefunguliwa hadi Dodoma amini haitopita miezi hata miwili watapewa Etihad."
"....moja ya masharti ya mkopo fulani kutoka kwao unakipengere hicho."
"....Rais alishawaelekeza wataalamu hataki kusikia mkwamo wowote kwenye majadiliano ya kimkataba sasa unatarajia nini wataalamu wetu walivyo walafi na bucha wamekabidhiwa?!"
"...NA HILO LA BANDARI LILIPELEKWA BUNGENI KWA SABABU ZIPO SHERIA ZINATAKIWA KUBADIRIKA LAKINI NAKUTHIBITISHIA HUTOONA TENA KITU KAMA HICHO!"
"....hii ni sawa na nusu picha bali picha kamili linakuja."
Mnyetishaji.
Mimi naamini DPWorld atatujengea Ferries za kuvuka lake Tanganyika hadi DRC Congo .TRC waache kupoteza hela kununua treni. Jamaa walete treni zao, huo ndio utakuwa uwekezaji wenye manufaa.
Sio mtu anakuja mmeshanunua kila kitu, sasa anawekeza nini??
HaweziNashauri apew e Bakhessa aiendeshe,mzanzibar halisi
Safi sana, bado na ule mlima Kitonga na mto Ruaha"....watu wanapiga kelele tu huku hawaelewi lolote ukweli ni kwamba hata reli yetu hii mpya ukiona imefunguliwa hadi Dodoma amini haitopita miezi hata miwili watapewa Etihad."
"....moja ya masharti ya mkopo fulani kutoka kwao unakipengere hicho."
"....Rais alishawaelekeza wataalamu hataki kusikia mkwamo wowote kwenye majadiliano ya kimkataba sasa unatarajia nini wataalamu wetu walivyo walafi na bucha wamekabidhiwa?!"
"...NA HILO LA BANDARI LILIPELEKWA BUNGENI KWA SABABU ZIPO SHERIA ZINATAKIWA KUBADIRIKA LAKINI NAKUTHIBITISHIA HUTOONA TENA KITU KAMA HICHO!"
"....hii ni sawa na nusu picha bali picha kamili linakuja."
Mnyetishaji.
Anawakusañyia hela then mnagawanaTRC waache kupoteza hela kununua treni. Jamaa walete treni zao, huo ndio utakuwa uwekezaji wenye manufaa.
Sio mtu anakuja mmeshanunua kila kitu, sasa anawekeza nini??
Akifanya kwa ufanisi wa hali ya juu inaweza kutupunguzia operating cost.Anawakusañyia hela then mnagawana
Ile reli imechoka sana labda ifumuliwe isukwe.Tazara wapewe wachina
Duh!!! Tanzania yetu"....watu wanapiga kelele tu huku hawaelewi lolote ukweli ni kwamba hata reli yetu hii mpya ukiona imefunguliwa hadi Dodoma amini haitopita miezi hata miwili watapewa Etihad."
"....moja ya masharti ya mkopo fulani kutoka kwao unakipengere hicho."
"....Rais alishawaelekeza wataalamu hataki kusikia mkwamo wowote kwenye majadiliano ya kimkataba sasa unatarajia nini wataalamu wetu walivyo walafi na bucha wamekabidhiwa?!"
"...NA HILO LA BANDARI LILIPELEKWA BUNGENI KWA SABABU ZIPO SHERIA ZINATAKIWA KUBADIRIKA LAKINI NAKUTHIBITISHIA HUTOONA TENA KITU KAMA HICHO!"
"....hii ni sawa na nusu picha bali picha kamili linakuja."
Mnyetishaji.
Unawapenda waarabu blaza.Mimi naamini DPWorld atatujengea Ferries za kuvuka lake Tanganyika hadi DRC Congo .
Anawekeza akiliTRC waache kupoteza hela kununua treni. Jamaa walete treni zao, huo ndio utakuwa uwekezaji wenye manufaa.
Sio mtu anakuja mmeshanunua kila kitu, sasa anawekeza nini??
Hapa issue sio Uarabu,acha kuleta hoja za Kitoto.Unawapenda waarabu blaza.