Eti

IrDA

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2010
Posts
745
Reaction score
361
1.Eti jeneza laki 4,kwani linafufua?!


2.Eti hand bag 80000,kwani inabeba mimba ama?!


3.Eti bash ya kuvuka 2013 ni 80000,kwani itanivukisha hadi 2015 au?!


4.Eti kuangalia movie ni 12000,kwani James Bond atakuwa live ama!?


5.Eti kiatu laki 1,kwani nikichoka kitatembea chenyewe?


6.Eti raba za soccer ni 55000,kwani zina mguu wa Messi au?!


7.Eti kufuli ya solex 15000,kwani ina bonus ya mlinzi au?!

 
Eti Ammim ni naibu waziri katka serikali ya Tanganyika +Msumbiji.
 
eti wanasema eti mimi eti ni wewe eti
 
Eti TV flatscreen 3mil,kwani inakuja na umeme wake?!



Eti kioo cha dirisha laki 4,kwani ni touchscreen?!




 

du namba 6 imeniacha ho!
 
Eti unauliza maswali mengi kwani wewe ni polisi.
 
eti rais wetu ni dhaifu.......
mbona ana watoto!?
 
eti lazima nilipe mia3 daladala kwani ukinisamehe mimi tu kuna hasara
 
eti unasoma hii thread alafu unaona yakipuuzi - he kwani umeombwa?
 
Eti unajifanya unaringa kwani umepima?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…