kha ina maana atakuwa ameshaliona kwa hyo kakasirika kulikosa au?tatizo lenu wanaume mwanake akiwachamgamkia tu mnamishia fahamu kwenye zipu za sarawili.hivi kweli wanaume ni wa shida to such extent?
mydia net time ukipata nafasi nijibu hili swali, midushelele ya ukweli ndio ipi? nature and character of midushelele ya ukweli....nitafurahi kupata majibu