Kwanza neno haka hilo kwanini likushughulishe? hujawahi kulisikia au hukulitarajia kwa sasa kutoka kwake?
Ebu jiulize nafsi yako bado na wewe moyo unakudunda na unashauku ya kutaka kujua ebu achana nae mpuuze na mdharau ebu jikazeeeeeeeeeeeeee....
..wana jamvi habarini za leo...!!!! kuna wakati fulani niliwahi kuomba ushauri hapa, nilikorofishana na aliyekua BF wangu..nashukuru sana wana jamvi ushauri wenu umenisaidia sana kwani kwa sasa nmeweza kusimama imara na nmemtoa mawazoni japo salaam za kawaida zina exist. kituko kinakuja sasa hivi karibuni kanieleza eti "ameni-miss"..... hebu nisaidieni hapo maana anaulizwa umemiss nini anajiumauma tu....haeleweki...nimueleweje huyu kiumbe anataka kuniumiza tena? au ndo hatua za kuanza kulilia 2nd chance? sielewi...!
aah... nyege tu zinamsumbua,
Hana lolote huyo, anataka muwe mnapeana game za kirafiki, kwa minajili ya KUJIKUMBUSHIA ZILIPENDWAAA! Wala usikubali atakufuja bureee, hakuhudumii afu anataka mambo burebure. Mimi mwenzio jitu nikiliacha likijifanya kinganganizi dawa moja tu ni KUTANGAZA NJAAA MWANZO MWISHO! Anza na kodi ya nyumba, vocha, nguo Mr Price, less wigi mpaka kiranga kimtoke! SHAMBA LILISHAMSHINDA WAMELILIMA WENZIE YEYE ANATAKA KUJA NA KAPU AVUNE!!!!!! Chinekeeeeeee! I beeeeeg Ohhhhhh!
..wana jamvi habarini za leo...!!!! kuna wakati fulani niliwahi kuomba ushauri hapa, nilikorofishana na aliyekua BF wangu..nashukuru sana wana jamvi ushauri wenu umenisaidia sana kwani kwa sasa nmeweza kusimama imara na nmemtoa mawazoni japo salaam za kawaida zina exist. kituko kinakuja sasa hivi karibuni kanieleza eti "ameni-miss"..... hebu nisaidieni hapo maana anaulizwa umemiss nini anajiumauma tu....haeleweki...nimueleweje huyu kiumbe anataka kuniumiza tena? au ndo hatua za kuanza kulilia 2nd chance? sielewi...!
Hivi shule si bado hazijafungwa jamani!!!

Ni kweli kabisa hujui anataka nini dadangu?
Msaidie tu kiutu uzima bana.
mi nimeachana na wangu lakini kanambia nikitaka gemu nimtelbut tatizo nipombali naye
aah... nyege tu zinamsumbua,
mheshimiwa Speaker mambo vipi kamanda? kama unakumbuka kuna siku tulikutana pale Mlimani City na nilikuwa na X GF wangu na alikua na tabia ambazo hazieleweki nikampiga chini... juzi ilikuwa birthday yangu akani wish mara akaanza kuniambia ameni miss na mambo kibao aliongea hahaaa.... hata mimi sielewi anataka nini
Sawa sawa, na hii ndio dawa yao. EX wako akijifanya amekumiss MPE MAJUKUMU MAZITO ambayo hukuwai kumpa. sio elfu 10 za voucher, mwambie ajenge ukuta uliobomoka.
Ha ha Manyanza una nikumbusha mbali sana.
(mambo yetu ya phone tracking yale).
Ndo hivo bana,anataka ka mchezo tu akumbushie,....
Lakini mtu kama huyo si tu kwamba anataka mchezo,
anataka aku fanyie ujanja umvimbishe tumbo then uwe ume
jibebesha majukumu kwake.........USI MSOGELEE