Eti, wimbo huu unaitwaje?

Eti, wimbo huu unaitwaje?

Wadau kuna wimbo kama wa kisouth una melody kama hii kwa kiswahili

"Kulala mezani hio nitalala usinawe" halafu kuna kama piano ya tii tilililiiii kulala mezani hio nitalala usinawe design kama yakina chicco hiv.
 
kama una smartphone... shazam uwa inatambua nyimbo kibao hata za kiafrica na kukupa majibu ni wimbo gani na umeimbwa na nani
 
Back
Top Bottom