Eti waungwana...

Madewa

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2012
Posts
467
Reaction score
192
Hebu tuambie,zipi sifa za demu mtamu,anatakiwa aweje,maumbile nk...
Wenye uzoefu tupieni mitazamo yenu hapa!
 
generation ya kushushiwa passmark at work
 
Mtabaka mwishowe..... kila kukicha mwataka kujua mwanamke mtamu wa kusimuliwa
 
. Kuna aina 3 za mademu watamu
- mademu wa chocolate
- mademu wa asali na
- mademu wa sukari
 
Mbna mmeng'ang'ania hii mada khaah! Utamu wa mwanamke anaujua mwanaume mwenyewe aaaagh! Yan had nimeropoka! Ngja ninyamaze!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…