Eti Wanawake Hutongoza ?

Tuombe Mungu waendelee kukosa huu UJASIRI maana wakiwa nao itakua Balaa ahahahha...Ndoa nyingi zitavunjika na ma bachelor wenzangu tutakuwa hatarini kuoa......Ukweli ni kuwa Mwanaume kuchomoa kwa mdada alie mtongoza ni ngumu sana...ahahah sijui ntaanzia wapi labda....ahahah Hii kitu ni Busara za Mother Nature, Wanawake wakose UJASIRI.
 
kILA MTU ana hati ya kufanya chochote anachojisikia ili mradi tu asivunje sheria
Hata me naweza kutongoza, km nimekuzimikia nakueleza kwanini niumie??? wakati nakuona
 
Mwiba wanatongoza hadi inakuwa kero . . . . kua utakuja kuyaona.

wengine hawakati tamaa kama fisi tu . . .
 
Last edited by a moderator:
wanatongoza sana tu.., ila mara nyingi wale wanaokupiga mistari (achana na wale wanaonesha viashiria) wanakuwaga shapeless na sio presentable kabisa..., hii nazungumza kwa mujibu wa uzoefu wangu..
 
wala sio ngumu, imagine umetongozwa na mtu sio size/chaguo lako, yaan humfeel kanisa..., utakamua tu hivo hivo! alaf epuka sana kucheza na hisia za watu utasababisha maafa!.., talking from my experience..
 
Unaweza kuwatofautisha vipi machangudoa na wanawake wa kawaida?
Machangu doa ni vile vijanajike tudogo ndo kwanza vinaona na pia huwa vimeshakuwa deflowered havijatulia vimeonja asali vimeipenda kupita kiasi huna haja ya kuvilia maspeed ,hupenda kujiegesha na kusubiri ishara tu,ni tofauti pia na wale mama uluma na huwepo wengi sana na isitoshe hana elimu kubwa katika ulimwengu wa mapenzi ni tofauti na malay japo tofauti si kubwa hawa wa kawaida hawana tabia yote hiyo hapo juu wapo smart kabisa katika mambo ya kidunia na wanaelewa wanachokifanya ,hao wajuu niliowataja hawahitaji kuwatongoza wao wenyewe hujileta mzima mzima ni wewe na choice yako,ukimkataa atabaki kukukodolea macho na kukusunya. Umeona eei ?

Wakawaida hawana wahka wala kiherehere humpenda wanaemchagua na Hapa ndipo nilipo wanao ujasiri wa kumtongoza waliemdondokea ,wanaume karibu tunampenda kila mwanamke na inapoamulika kutaka kuingia katika dunia ya mapenzi basi ndipo kitu chenye maamuzi mazito kinapofuata.
 
Wapo wanawake wanaotongoza, na mwanamke akimtongoza mwanaume jua amempenda kweli coz wanawake wanaongozwa na upendo, sio kama wanaume wanaongzwa na tamaa

Aai hapa unatutuc ,yaani sisi tunapokutongozeni tunakuwa na tamaa ? Tamaa ipi hiyo ?
 
sikukatalii hata kidogo sema nitang'atang'ata kidole kidogo halafu nakuuliza tu unataka kunichezea au...........!!teh tehe ha ha LMAO

daaa! Umenichekesha sana mkuu! Nilitegemea kuwa utamjibu hivi hivi bilashaka ulikuwa ktk mawazo yngu.
 
mim nishatongozwa sana na hao wanawake najitaid nawakwepa.

ukiwa handsome na tajiri unasumbuliwa sana
 

KUTONGOZA NI NGUVU YA USHAWISHI JUU ya upenzitamaa hata kabla ya dhamira kuu ya ushawishi; iwe ngono au jambo lolote lile, hata unapotaka kupata jambo fulani liwe baya au zuri neno pekee pale ni kutongoza mf; wanasiasa wanatutongoza tuwape kura,askari wanatongozwa na wata ili wapokee rushwa na pia mahakimu,hata dini hutongoza waumini kumwelekea Mungu ;

Hivyo neno kutongoza halijabeba jinsia ya kiume au kike na katika masuala ya ndoa au tija ya ngono hata wanawake pia hutongoza ingawa kwao ni aghalabu sana kutumia maneno na hivyo hutumia vitendo ashiria.....na vitendo hivyo ashiria vina nguvu kuliko maneno

Na kama mwanamke akiamua kutongoza kwa viashiria huwa ni rahisi kupata kuliko mwanamume, KWA HIYO
NAFSI ZAO PIA WANAZO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…