Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,184
hongera kwa kuingiza cku!kuna jamaa mpinga-chadema utazan mpinga-kristo. jamaa huwa namsalimiaga kwa ishara ya habar yako banaa, uku namuoneshea ishara ya V ambayo tunatumiaga cc ma hadi core wa cdm. lakini leo nimsalimia ivo akaj4bu 'wameanza kuwaondoa mmoja mmoja, bado mmoja . . .'. nikamuuliza, wamemndoa nani? akajibu 'hujui, we kaa hivyo hvyo'. dah, amenipamkisha sana. sjui kama ntaenda khanga pati len.
Hili litakuwa gamba la kobe maana yy ni khanga tu, si unajua wamozoea kuhongwa khanga, tisheti na kofia?
Hili huni la magamba tu. Linajifanya cdm, hiki si chama cha wahuni huni. Toka zako utuondolee upupu humu.
hujaeleweka kabisa nadhani itakuwa bang.....ya Malawi tumimi cyo gamba.
Wewe ni Jinsia gani?Jibu nikupe ushauri.kuna jamaa mpinga-chadema utazan mpinga-kristo. jamaa huwa namsalimiaga kwa ishara ya habar yako banaa, uku namuoneshea ishara ya V ambayo tunatumiaga cc ma hadi core wa cdm. lakini leo nimsalimia ivo akaj4bu 'wameanza kuwaondoa mmoja mmoja, bado mmoja . . .'. nikamuuliza, wamemndoa nani? akajibu 'hujui, we kaa hivyo hvyo'. dah, amenipamkisha sana. sjui kama ntaenda khanga pati len.