Eti vijana mjitolee

Eti vijana mjitolee

Airmanula

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
3,524
Reaction score
5,782
Umemaliza Chuo 2014.....
Una mzigo mkubwa wa Deni la HESLB...
Kuna mtu analipwa milioni 10 kwa mwezi anakuhubiria ujitolee ndo akuajiri..... Au

Umesomeshwa kwa mkopo mama kakopa akitegemea umalize uajiriwe umsaidie kulipa madeni,biashara riba imekula hujaajiriwa mwaka wa sita uko tu mtaani unanyanyaswa na waajiri halafu leo unakuja kuambiwa hupewi ajira kwasababu hujajitolea bure.
Think beyond....
 
Back
Top Bottom