Tabia haibadiliki.Waungwana naona hii week end inaishilia hivyooo ila siko poa kabisaaa nahisi moyo unaungua huko ndaniii
Sasa turudi kwenye hoja ya msingi.....
Unakuta mtu Ana mwanamke au mwanaume wake...anajua kabisa huyu mtu wake ana tabia flani tata lakini anakomaa
Wanaume Ndio walivyo wanapenda kubadilisha watu tabia anakuta unapenda hiki unaambiwa achana nacho Ila yeye anavyopenda hawez achana navyo
Umejuajealiyewaumba wakati mwingine anajuta kwa nini aliwaumba kwa tabia wanazo onesha.
Kama unaona huwezi hizo don't unakacha tu 🤣🤣Unakuta uko na mtu anakushushia page ya 'don'ts' kibaoo ...eti sipendi hiki , sitaki ufanye hivi, sitaki kile.....sawa wapo wanaokubali kubadilika kuendana na upepo lakini mnawafanya waishi fake life ambayo sio maisha yao halisi.
rekebisha hapo"ALIYEWAUMBA ANAJUTA"muumbaji huwa hajuti kwani yeye si mwanadamu..Waungwana naona hii week end inaishilia hivyooo ila siko poa kabisaaa nahisi moyo unaungua huko ndaniii
Sasa turudi kwenye hoja ya msingi.....
Unakuta mtu Ana mwanamke au mwanaume wake...anajua kabisa huyu mtu wake ana tabia flani tata lakini anakomaa tuu kwa matumaini kwamba atambadilisha mbele kwa mbele ...
Unabadilisha mtu wewe umekuwa Mungu uliyemuumba?? Unaingia kwenye mahusiano na mtu unayeona mnaendana tabia na mitizamo lakini huendi kwenye mahusiano kubadilisha wanadamu ambao hata aliyewaumba wakati mwingine anajuta kwa nini aliwaumba kwa tabia wanazo onesha.
Awe mke au mume, awe kumegana kisela fanya na mtu mnayeendana. Maana pia unaweza zania unamega kisela mwisho ukanogewa ukabaki mazima.
Unakuta uko na mtu anakushushia page ya 'don'ts' kibaoo ...eti sipendi hiki , sitaki ufanye hivi, sitaki kile.....sawa wapo wanaokubali kubadilika kuendana na upepo lakini mnawafanya waishi fake life ambayo sio maisha yao halisi.
Neno langu sio amri za kuambiwa changanya na zako.
Tusichoshane.
View attachment 2537682
Bible imeandika kwamba Mungu alifikia kipindi akajuta kwa nini amemuumba mwanadamu na aliwaza kuwafyekelea mbali.. ndo chanzo cha gharika. Soma kitabu cha mwanzorekebisha hapo"ALIYEWAUMBA ANAJUTA"muumbaji huwa hajuti kwani yeye si mwanadamu..
hamna mwanaume malayerHahah ina maana hata wanaume wanaokomaa na tabia zao na kutokubadilika ni malayer ?