Mbepo yamba
JF-Expert Member
- Aug 5, 2012
- 1,384
- 2,082
Wadau hebu tujadili hili. hivi katiba ndo inapaswa kutatua matatizo ya afya na barabara? elimu? maji? au nini hasa? nashangaa watu mnasema katiba ya CCM haina special concern ya hayo mambo so tuikatae.
Upuuzi mkubwa huu, mnataka katiba iwapangie hadi mahali?
That is too childish guys. Upinzani siyo kupinga kila kitu, ndo maana tuliwashangaa mlipomuunga mkono Kagame dhidi ya JK.
Upumbavu tu umewajaa ndo mnaita uanaharakati.