Huyu mdau ana fikra finyu mno. Yaani kweli anatoa mfano wa shindano kwamba ndio ukombozi?
Well, naye si ana shida na pesa basi yeye ashinde basi hizo pesa za shindano na zingine anazosema awasaidie na ndugu zake pia.
Hawa ndio wale wakishiba ugali na maharage wakimiliki na passo basi wanaona maisha wameyapatia