Thanks my brother. Nimeshamjibu. Kama ameweza kusoma kilichoandikwa na mbwa, basi na yeye ni mbwa. Binadamu hawezi kusoma kilichoandikwa na mbwa. Ndio maana nasema hawa vijana wanatusumbua sana. Badala ya kujenga hoja, yeye anaishia kujitukana mwenyewe. Kaazi kweli kweli!!