Piga chini - mzigo haulipi huo.WAJAMENI JAMAA ANAOMBA USHAURI
Mimi ni kijana ambaye tangu nilipooa nimemaliza mwezi mmoja na siku mbili,awali kabla sijaoa nilikuwa na uhusiano na wasichana wawili ambao niliachana nao ndipo nikamuoa huyu niliyenaye ambaye mimi ndiye mwanaume wake wa kwanza.Kinachonisibu hadi nimeamua niombe ushauri kwenu ni tabia ya mke wangu kutopendwa kabisaa kushikwa kifuani tunapokuwa eneo letu la kujiachia,yaani nikifnya hivyo anakuwa mkali sana na kuhamia katika kitanda kingine.Ukiacha hilo,pia hapendi tupeane mabusu,kitendo hicho kinaninyima raha ya mapenzi hadi najuta kwanini nimemuoa au nimuache ? naombeni ushauri wadau
I really hope kuwa hii thread, na vi-thread vingine vyote vya aina hii, huwa ni utani tuu, watu wanajisikia tuu kutuuzia chai; Ila kama ni kweli kuwa alieanzisha hii thread na yeye ana mke nyumbani, na anategemewa basi taifa letu liko kwenye hatari kubwa sana ya kuwa na vijana ambao wako vibaya sana katika kufanya maamuzi (decision making) na kufahamu ni kitu gani cha kukisema wapi. Mwenyezi Mungu atusaidie sana. peterchokamiujinga ujinga tu..
Ujinga tu, ndoa haina hata wiki tano washaanza makeleleI really hope kuwa hii thread, na vi-thread vingine vyote vya aina hii, huwa ni utani tuu, watu wanajisikia tuu kutuuzia chai; Ila kama ni kweli kuwa alieanzisha hii thread na yeye ana mke nyumbani, na anategemewa basi taifa letu liko kwenye hatari kubwa sana ya kuwa na vijana ambao wako vibaya sana katika kufanya maamuzi (decision making) na kufahamu ni kitu gani cha kukisema wapi. Mwenyezi Mungu atusaidie sana. peterchoka