Duniani kuna mambo ,japo kwa
wengine inawezekana kabisa ni kawaida ,nimekutana na kimbwanga
shangingi la kweli nimelipenda ile mbovu ,na tumeendelea na mapenzi na
mambo mengi tu tumefanyiana ,ila jana kanishukia na viwembe na zana za
kunyolea anambia nimyonyoe kwenye sehemu zile ,kwanza nilizani
utani,kumbe kakusudia kikweli yaani mwisho ilikuwa kero kama za muungano
,madai yake hayaishi na vikolombwezo kibao,sijui haya ndio mapenzi,watu
wakipendana hufanyiana mambo haya ,kwa ufupi nilishikwa na tumbo la
kuendesha hapo hapo na kichwa kuniuma nikampa ahadi siku nyingine ,kwani
kwani sijisikii vizuri ,nikaondoka hata nyuma sikutazama ,aloo mademu
wengine wana visa.
Mbio zangu zote nakimbilia hapa kupata ushauri na maelekezo ,hivi haya
mambo yapo ? Ila kwa mimi sizani kama ataniona tena bora anione mshamba
,duh ! Mpaka sasa hivi akili yangu haijakaa sawa ,ama kweli duniani kuna
watu na majini nafikiri ni jini huyu !