Does not make sense,yaani umekaa umefikira ndio umekuja na uzi huo,kweli we zero.
Kwani we umezaliwa vipi,na baada ya ku ejaculate si ndio umepatikana wewe,
Sio kila kitu pesa pesa,upeo mdogo wa kufikiria huwa unawaza pesa badala ya kuweka wazo kwanza