Lucas JF-Expert Member Joined Dec 3, 2011 Posts 2,457 Reaction score 1,111 Feb 27, 2012 #101 Lizzy said: Hhhm hiyo simu ntaangalia maana vitu vingi kumbukumbu haikai kichwani. Hiyo mbwa wenu alikua anatokea Sinoni nini? Ngoja niulize mtaani kama kuna mbwa kaonekana akiranda randa. Click to expand... nitashukuru sana ukiiona hiyo simu nimabie.... nitakufikiria na wewe angalau kwa kazi hiyo nzuri.... kuhusu huyo dog, alikuwa akitokea maeneo ya Uzunguni juu kidogo ya breweries
Lizzy said: Hhhm hiyo simu ntaangalia maana vitu vingi kumbukumbu haikai kichwani. Hiyo mbwa wenu alikua anatokea Sinoni nini? Ngoja niulize mtaani kama kuna mbwa kaonekana akiranda randa. Click to expand... nitashukuru sana ukiiona hiyo simu nimabie.... nitakufikiria na wewe angalau kwa kazi hiyo nzuri.... kuhusu huyo dog, alikuwa akitokea maeneo ya Uzunguni juu kidogo ya breweries
mpinga shetani JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 3,234 Reaction score 963 Feb 27, 2012 #102 Okuberwa said: Kati ya hayo yote nadhani hiyo ya FF inakaribia kuwa kweli! Click to expand... FF ni Malaria Sugu
Okuberwa said: Kati ya hayo yote nadhani hiyo ya FF inakaribia kuwa kweli! Click to expand... FF ni Malaria Sugu