eti ni kweli kuhusu hawa wana jf?

Golden Mpoleeee

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Posts
572
Reaction score
206
Eti The Finest yupo single?
Eti Mwanakiji haish kijijin?
Eti Kongosho ana sauti lain?
Eti kuna memba kaibiwa bwana hapa?
Eti kuna pati ya jf kubwa hufanyka hualikwa wene majna tu?
Eti jukwa la MMU lina watu wake?
Eti ukutulia inawezkana kupata mume hapa?
Eti ni kweli yote hayo?
Eti ni kwel MTM ni dj?

GM
 
Mwalimu alinifundisha swali likianza na "eti" likimbie kabisa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…