Eti ni kweli haisomi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eti ni kweli haisomi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Siimay, Jul 27, 2011.

 1. S

  Siimay Member

  #1
  Jul 27, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani kwanza kwa heshima na tadhima naomba niwasalimu wana JF wote halafu mi ndo mgeni bado nina kamba mguuni,sasa jaman mi ni swali huwa limeniumiza kichwa mda kidogo.Hivi ni kweli zile mashine zinazotumika kugundua kama umebeba silaha ya aina yoyote kama pistol,kisu n.k katika viwanja vya ndege huwa haviwezi kugundua kama umemeza dawa za kulevya?na kama ndiyo wale wanaokamatwa airport wamemeza huwa wanakamatwa vipi?mi kuna bwana aliniambia mtu hukumatwa either kwa kuchomwa na mwenzake ama unapopanda ndege wale wahudumu wanaweza kugundua kwa sababu kuna vyakula au vinywaji utakuwa unavikwepa pindi utakapoletewa chakula flani though mi cjawah panda hizo ndege,jamani hebu mawazo na ushauri wenu kung'amua ukweli katika hili..
   
Loading...