Kupenda kujua
Member
- Nov 30, 2016
- 18
- 9
Jamani naomba msaada, je ni kweli waliomaliza form four 2016 hawa dahiliwi intake ya March/April kusoma certificate?
Nashukuru kwa majibu mazuri.Kasome vizuri kwenye tuvuti ya NACTE wameelenza kwa uzuri. Wanaohitajika kwa march intake ni wale waliomaliza 2015 kurudi nyuma. Subiria nafasi zenu zitatoka.