Kaanga kaniambia eti kuna mdadaunamtaka na u,memwambia kuwa unataka awe mama yangu mimi sitaki baba,,,..... baba mimi mzima sana... sijui wewe?
wapare/ Mafikizolo
ipere thi kindo, kindo ni mshombe.
Hahahahha unataka ngumieee wewe shauli yako ngoja nimwite mshana jr
Mwanangu me sipendi kufanya kitu kama hupendi, simtaki mdada yeyote kwani mimi na mama yako tumegombana?
hamjagombana ila naona umeanza kumchokoza mama unarudi usiku
sijazipiga mda sichokozwi naamua kuchokoza
Nini ile juzi tu kuna sehemu nilipitia
Hahahahahah machame mojaeee sio
ndiiyo sijazirusha mda kweli naomba game mimi na wewe tukazipige kule jf sport
ndiyo usirudie tena nakupenda baba mzuri