at least anapunguza uchafu ulioko kwenye ngozi
ila sasa mazingira hayo anaweza kutoka na fanguso mpaka wa makalioni
Yanaweza kuwa maji ya mvua na ni masafi......tehetehee!!!
Haya madampo yanatoa ajira kwa watu kibao duniani kote.
Tatizo la 3rd world ni kwamba taka haziwi sorted. unakutana na kichwa cha samaki, used condom, diapers, pasi mbovu, .....
hahahaha anazidisha tatizo badala ya kupunguza
sasa tena waweza kukuta maji kayakinga hapo hapo ya mvua so bado ni masafi in terms ya pathogenic colonies.Na usalama wa hayo maji anayoogea ni majanga tupu
Hata Hospital sorting ipo kwenye collection kwasababu ya hatari ya self prick hasa kwa needles, lakini kwenye disposal, wanatupa tu zote sehemu moja.waste management ni field inayoaajiri watu wengi zaid dunian na hasa wale ambao elimu ni ndogo ama hawajaenda shule kabisa kwa nchi zinazojua maana yake.
Uchafu kwa hapa kwetu ni kinyaa na kila mtu anaufumbia macho lkn kwa wenzetu ni pesa tena tamu, kuaznia collectio, transportation, disposal mpaka treatment yenyewe. Eneo pekee ambalo tumeweza kumanage sorting ni mahospitalin tu tena hapa ni kwa zile category za taka hatarishi hasa needles lkn kwenye taka nyingine bado ni kazi sana
brother ripoti ya CAG ya mwaka huu kwenye biomedical waste management imeeleza wazi kwamba hosp kubwa kama MNH haina incinerator, na hivyo wanategemea ku incinerate lugalo.Hata Hospital sorting ipo kwenye collection kwasababu ya hatari ya self prick hasa kwa needles, lakini kwenye disposal, wanatupa tu zote sehemu moja.
Less than 10% ya Health Centres zina incenerators tena zilizojengwa kijanjajanja.
Dispensaries na health centres nyingine ni sheeeedeeer!!!
gfsonwin umeiweka vizuri mnobrother ripoti ya CAG ya mwaka huu kwenye biomedical waste management imeeleza wazi kwamba hosp kubwa kama MNH haina incinerator, na hivyo wanategemea ku incinerate lugalo.
Bugando hosp hakuna, achilia mbali hosp za mikoa na wilaya. incinerating system iliyopo ni mbovu outdated version ambayo ina risk ya air pollution kw akiwango kikubwa sana.
sasa hivi ndio kwa mara ya kwanza inatakiwa kujengwa biomedical waste treatment facility ya kwanza kwa hapa kwetu na inajengwa bagamoyo. sasa jiulize hivi huko bagamoyo hizo taka zinasafirishwaje, think of muda, safety si tu ya wabebaj bali hata ya jamii manake ni risk kukaa karibu na gari lenye taka hizo.
ukiangalia hakuna gari hata moja linaloqualify ubebaj wa taka hizi na wala mpaka sasa hakuna elimu inayotolewa kwa jamii na wauguzi kwamba kuna mfumo tofauti wa kuhandle taka.
ni shiiderrrrr has aukizingatia uchafu kwetu unadharauliwa wakati kwa wenzetu ni hela tena tamu
haaaaaah nani kanipiga picha nikiwa naoga ? ndo adabu mliyofunzwa kwenu sio eeeeeenh
brother ripoti ya CAG ya mwaka huu kwenye biomedical waste management imeeleza wazi kwamba hosp kubwa kama MNH haina incinerator, na hivyo wanategemea ku incinerate lugalo.
Bugando hosp hakuna, achilia mbali hosp za mikoa na wilaya. incinerating system iliyopo ni mbovu outdated version ambayo ina risk ya air pollution kw akiwango kikubwa sana.
sasa hivi ndio kwa mara ya kwanza inatakiwa kujengwa biomedical waste treatment facility ya kwanza kwa hapa kwetu na inajengwa bagamoyo. sasa jiulize hivi huko bagamoyo hizo taka zinasafirishwaje, think of muda, safety si tu ya wabebaj bali hata ya jamii manake ni risk kukaa karibu na gari lenye taka hizo.
ukiangalia hakuna gari hata moja linaloqualify ubebaj wa taka hizi na wala mpaka sasa hakuna elimu inayotolewa kwa jamii na wauguzi kwamba kuna mfumo tofauti wa kuhandle taka.
ni shiiderrrrr has aukizingatia uchafu kwetu unadharauliwa wakati kwa wenzetu ni hela tena tamu
Hahahaaaaa kwahiyo hapo ulijiona uko bafuni google helper?