Eti Najimunisa imeua tena?

ksb

Member
Joined
Feb 28, 2013
Posts
42
Reaction score
0
Tetesi ambazo hazina uhakika kutoka chanzo inasemekana najmunisa ikiwa safarini kwenda simiyu imeua 36
 
Tetesi ambazo hazina uhakika kutoka chanzo inasemekana najmunisa ikiwa safarini kwenda simiyu imeua 36

Huh? Nshalipanda hilo basi mara kibao toka Simiyu kwenda Dar.

Halifai kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…