Jamaa yangu ninayefanya nae kazi alimtongoza mke wa mtu, yule mwamamke akakubali ila kwa sharti hili, aoe kwanza ndio atapata nafasi ya kumgegeda kwasababu itakua ngoma droo.
Je, kufanya penzi na mme\mke wa mtu, (wote wanandoa) kunapunguza maana ya neno usaliti?
Huyo mwanamke ana akili sana
Huyo jamaa hajui thamani ya mke na huyo mwanamke amemuambia hayo kwa kuwa anajua huyo jamaa ni wa hovyo
Aoe halafu aone kama atamtongoza tena!
Big up kwa huyo mwanamke, anataka huyo kijana aoe alafu ndio atajua uchungu wa kutongoza wake za watu.
mkee wa mtu ni sumu....yatakuja ya kupate.usiyo ya tegemea utakuja kojoa dagaa au kucha mbia upangaaa hayaJamaa yangu ninayefanya nae kazi alimtongoza mke wa mtu, yule mwamamke akakubali ila kwa sharti hili, aoe kwanza ndio atapata nafasi ya kumgegeda kwasababu itakua ngoma droo.
Je, kufanya penzi na mme\mke wa mtu, (wote wanandoa) kunapunguza maana ya neno usaliti?
Jamaa yangu ninayefanya nae kazi alimtongoza mke wa mtu, yule mwamamke akakubali ila kwa sharti hili, aoe kwanza ndio atapata nafasi ya kumgegeda kwasababu itakua ngoma droo.
Je, kufanya penzi na mme\mke wa mtu, (wote wanandoa) kunapunguza maana ya neno usaliti?
Ametumia njia nzur sana ya kumtuliza na kumdicpline huyo boy!! maana kamuona bado utoto upo