miles45
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 3,469
- 8,292
Habari zenu! Naona wanaume tunaendelea kujitengenezea maisha magumu, maisha ya kuhangaika na ada za watoto Hadi uzeeni.
Kwanini naongea hivi? Kama mtakuwa na kumbukumbu Kuna siku niliwaletea uzi humu nimekula mke wa mtu baada ya kutegwa Sana na kujilengesha mwenyewe bila Mimi kujua.
Sasa juzi tumeonana na yule binti nimekuta anakitumbo cha Kama miezi mitatu hivi kwanza nikastuka na kumuuliza vipi mbona hivi tena akajibu nilifanya matusi. Tukacheka basi tukaachana.
Jioni nikawa na hofu maana kwa muda wa mimba na siku tulio njunjana muda unawiana nikamuuliza juu ya hilo akasema Ni ya mister aliona anarukaruka ndio eti kamtuliza.
Nikamtest rematch nikajibiwa wewe tu lakini kiukweli sipendi habari za kuchafua na kunajisi watoto kuanzia umri mimba hadi miaka 16 .tukaagana pale basi ikawa ndio hivo.
Ndugu zangu kumtuliza mwanamke kwa kuzalisha mfululizo hauzuiii kitu ila unajiwekea mzigo mgumu wa wewe kukomaa na ma ada maisha yako yote na mizigo mingine.
#wivu usiwafanye mjibebeshe mizigo mikubwa hadi mwisho wa maisha yenu.
#Mbususu haichungwi Wala kukomolewa