Eti mimi nachekesha

Sio wewe unachekesha ila mkeo anamatatizo yakucheka-cheka weka mbali na vijana....hatari sana
 
punguza mibange!!
 
Hizo ni dharau yaani mpaka anakujambia, jichunguze.
 
Mke, Mume mkapime akili.
 

Hahahaha pruuuuu papapapa hahahaha swiiiih hahaha hahaha ht mm nmecheka sana mpk nnnnn
 
Hiyo ndoa yenu mmekutana, mwambie mkeo asije akijiachia mwisho akajinyea bure
 
ha ha ha ha ha ha ha

ukiweza kuotea umri wangu nakutajia kabisa hata karibu kwa mwaka mmoja ila pm

Mimi nikutajie pm au we ndo utaniyajia pm nikipatia?
 
Mimi nikutajie pm au we ndo utaniyajia pm nikipatia?

uamuzi ni wako ila mimi nitakujibu pm kama umepatia au umekosea ukipatia hata karibu kwa mwaka mmoja nitakurekebisha hadi tarehe na mwezi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…