Mtayarishaji
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 291
- 198
Daaah hayo mambo mengine ya kuacha kama yalivyo mapenz ni upofuNimekuta mtu analalamika;
Unampeleka girlfriend wako kijijini kwenu, mkiwa huko mara anaanza kulalamika mboga za kienyeji ni kali sana wakati mkiwa town anakunywa konyagi tena drai...
Shwaini kabisa......
Huyo mtu ni wewe mwenyewe mkuu...na inawezekana mda si mrefu ndio mmetoka kula.
Pole sana mkuu
KabisaDaaah hayo mambo mengine ya kuacha kama yalivyo mapenz ni upofu
Mkirudi kutoka kijijini mwambie shemeji nina jibapa lake!
Hiyo mboga lazima iwe namgujulu mboga ya manyonyoli
Akili mda mwingine ifanye kazi, we utafananishaje ukali wa mboga chungu na konyagi vitu viwili tofauti..
yupo sahihi 98.9% Kuna mboga chungu balaa
kalishwa tango pori😛Mmemlisha nn binti wa watu hadi alalamike ati??
Napenda mashelisheli.