Eti Maneno Haya ni ya Ukweli?

Mzizi mkavu kunawakati unakuwa na akili za kingese
 
Last edited by a moderator:
Mzizi mkavu kunawakati unakuwa na akili za kingese

Nilitegemea haya yatakupata Mzizi Mkavu na ukiendelea na post za ukabila na udini...hutafika mbali na heshima uliyonayo humu jamvini itayeyuka.

Kama unapost issue za ukabila basi tanguliza neno "utani" ili kupunguza ukali wa majibu toka kwa wachangiaji.

Mambo ya ukabila hapa Tanzania huwa tunayatumia kama Watani zetu na tunashirikiana katika mambo ya kijamii kama misiba na harusi.

Kama unataka utani katika makabila...ni vyema ukatangulia kusema kabila yako kwanza kisha useme watani zako akina nani hapo ndio ruksa kutania.

Watani zangu wanyakyusa mpooo....??!! Mikono juu kisha piga keleleee...mie natoka hapo jirani Nyumbii hii...bombii hii....
 
Last edited by a moderator:
Mim sio Mkabila mimi ni Mzaramo kwa upande wa Mama yangu kwa upande wa Baba yangu mimi mhehe Tunakula sisi wahehe mbwa kwani kuna ubaya. Ninawatania watani wangu Wanyakyusa kwani kuna Ubaya kuwatania watani wangu Mkuu SaidAlly Wewe ni Kabila gani kwani?
 
Km ni mhehe upo sahihi bna Wanyak ni watani wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…