Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 4,809
- 19,464
Alikua ni decent woman..ila nilijiona niko kifungoni nikaona yanini kuishi kama mfunga eti kisa ndoa...nikapita hivi nw na enjoy maisha niko huru kwenda popote kufanya lolote wakati wowote bila maswali wala vikao vya familia.Wewe ulikuwa na bahati mbaya ukaoa chizi na chamoto ukakiona ila hiyo haifanyi ndoa kuwa upuuzi
Ungeoa mtu anayejielewa ukafurahia ndoa Wenda ungekuwa unaipigia promo hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu Kila la kheriAlikua ni decent woman..ila nilijiona niko kifungoni nikaona yanini kuishi kama mfunga eti kisa ndoa...nikapita hivi nw na enjoy maisha niko huru kwenda popote kufanya lolote wakati wowote bila maswali wala vikao vya familia.
Ndoa sio ya kila mtu...ukioa/ olewa wewe inatosha.
#MaendeleoHayanaChama
Mkuu [emoji16][emoji16][emoji16]Tunachokijua:[emoji848][emoji848][emoji848]
34 ndogo Sana Mimi Nina 19Sio lazima. Hapa nina 34 na sina mpango
Mwambie Andrew Tate hivyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]olewa kama umeshindwa kuoa
Usimpangienyumbani washamaliza kupika chakula maana utakuwa unanjaa.
baba yako bora angeacha mbegu zake kiunoni
You a ghetto boy no be sinnerKuoa ni upuuzi mtupu trust me..nilioa nikaona napoteza muda nikapita hivi.
#MaendeleoHayanaChama
Kwani lazimaMtoto wako naye akioa na miaka 50 hao wajukuu utawaona kaburini au?
Konde boyKho Kho Kho Kho
Ulazima wa kuoa upo pale unapogombea nafasi fulani ya mamlakaHawa dada zetu naona sijui wamepatwa na Nini ukimpa tu namba yako , anafanya Kazi ya kukuchunguza Kama umeoa au hapana.
Mimi imani yangu inanambia nabidi kusaidia wazazi wangu , masikini, na Yatima tu .
Huu mradi wa Ndoa upo kiupigaji Sana . Bora nisaidie wahitaji kwanza, endapo nipokea wito ntaoa lakini sio kwa kumuonea Mtu Huruma aliyeshindwa kujitunza.
NB tuendelee kutunza Ushuhuda Uzinzi haufi na ni uchafu
Umesoma alichokiandika lkn?Kwani lazima
Kabsa kila mtu na akili yakeUmesoma alichokiandika lkn?
Muulize gatesndoa ilikufanyia nini mkuu naona unaipinga kwa nguvu kubwa sana?
Anasema akifikisha 50 yrs ndio ataoa. Kisha anatarajia kuona wajukuu zake huku akijinasibu ataishi 90 yrs. Ndio nikamuuliza na mtoto wake akioa after 50yrs ataona wajukuu kaburini? Kumbuka alishasema zinaa haifai.Kabsa kila mtu na akili yake
Kwanini hujasema nimuulize barack obama, badala ya unasema nimuulize gates, ina maana wewe unajifunza kwa waliofeli?Muulize gates
Tell me the difference, ingawa huyu ni mzinzi na huyu ni muasherati. Je, dhambi ya uzinzi ni kubwa kuliko ya uasherati? Kila siku vijana humu tunatoa mada za kuwa mwanaume lazime tuwe na michepuko tena tunaisifia. Kipi kinachokufanya uione ndoa ya muhimu kama kanuni zake huzifuati na huiheshumu.Anasema akifikisha 50 yrs ndio ataoa. Kisha anatarajia kuona wajukuu zake huku akijinasibu ataishi 90 yrs. Ndio nikamuuliza na mtoto wake akioa after 50yrs ataona wajukuu kaburini? Kumbuka alishasema zinaa haifai.