Eti kila mwanamke ni mrembo?

thebigbobo

Senior Member
Joined
Sep 25, 2014
Posts
168
Reaction score
17
Kuna siku moja jioni wakati natoka job nikakutana na mdada mmoja ana soma uhasibu Arusha nikamtongoza akanikubali, Sasa tatizo ni moja, mimi napenda avae vizuri aende saloon na ajiweke ninavyotaka kwa sababu yupo vululuvululu kwasasa, yaani mpaka kuongozana nae siwezi.

Nianzeje kumwambia ? cause now kila siku anakuja kulala kwangu.

Namimi naona nipo Kigoma mwisho wa reli.
 
Cjakuelewa ngoja waje walio kuelewa. .....heading na maelezo tofauti
 
Wakati unamtongoza hukuuona huo uvuluvululu..??
 
Msamehe tu mkuu thebigbobo kwani kiumbe huyo hajui alitendalo. akikua atajirekebisha kwani hizo ni kasoro ndogo ndogo au yawezekana hayo ndio maisha yake halisi ila wewe una mletea swaga za kishua
 
Last edited by a moderator:
mpeleke saluni mchagulie mtindo unaotaka... mpeleke shoping mchagulie mapigo unayotaka avae just simple like that
 
pesa yako ya kumrembesha na kumpa msosi poa, uzuri matunzo. kama huna pesa mvumilie hivyo hivyo
 
Umekanganyikiwa kiasi kwamba hata unacho kiandika hakieleweki.
 
mueleweshe tu kawaida af simamia shoo za saluni,shopping mbona atabadilika tu hakuna mwanamke mbaya ila n matunzo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…