Mwinjilist mtume nabii
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 2,437
- 1,098
Naomba kuuliza mnaojua, hii kazi ya upelelezi kama ni kweli elimu ya darasani au kuna kauchawi pia hasa upelelezi wa kiserikali.
Maana mtu anaweza kufanya kosa, na akaondoka akaenda kuishi mbali, lakini unakuta baada ya muda anakamatwa na hasa kama amefanya kosa kubwa.
Hivi ni kweli kabisa kwa ukubwa wa nchi hii, huwezi kujificha na usipatikane?
Karibuni..