Wapo sahihi kusema ni full house kama unavyoweza kuona mwenyewe....
Maana watu wanazigwaya hizo sehemu sababu visibility.
Na wapo tayari kusimama ( japo sio wengi).
Kwa macho yangu niliona malengo mengi hasa majukwaa ya juu ya kusini mwa uwanja. Lkn kumekuwa na mabishano ya kadhaa huku wengine wakisema Simba waliujaza uwanja (full house). Pengine nina shida ya macho.