Eti huyu ndiye mmiliki wa pap?

Dr Ngoffi

Member
Joined
Feb 16, 2013
Posts
58
Reaction score
5
Wana JF picha ya mtu huyu mwenye asili ya kiasia imekuwa ikisambaa katika mitandao ya kijamii....je ni kweli huyo ndio mmiliki wa PAP....
 

Attachments

  • 1417019963807.jpg
    30.5 KB · Views: 1,606
  • 1417020139213.jpg
    124.3 KB · Views: 1,443
Wana JF picha ya mtu huyu mwenye asili ya kiasia imekuwa ikisambaa katika mitandao ya kijamii....je ni kweli huyo ndio mmiliki wa PAP....
Harbinder Sigh Seth, ndiye yeye (kimagumashi)
 
Ndio huyu anawapaga polisi pikipiki
 
Yaani huyu, kama yupo nchini, wakachukue passport yake na documents zake muhimu sasa hivi kabla hajakimbia nchi.
 
Kina kova nao wameonja hela ya escrow kumbe,naona anawapa zawadi.
 
Ndio huyu anawapaga polisi pikipiki

Bunge limeshauri jamaa akamatwe mara moja,afilisiwe na ashitakiwe kwa money landering act,sasa sijui hao polisi kama watamkamata mfadhili wao mkuu.
 
Sijui huyu mhindi anamuonyesha nini huyu baba askofu.........
 

Attachments

  • 1417022647899.jpg
    84.5 KB · Views: 856
Ametoka uhindini kuja kwenye shamba la bibi kuchuma!!system yote ipo mikononi mwake!!na alaaniwe kwa wizi...
 
Huyo kabacholi ni mmatumbi kweli? Amekwapua 306 bilioni kaisi chote hicho cha pesa zetu bila huruma!
 
Hii nchi tumefanywa wajinga. Mambo huanza zamani ila tunakuwa hatujafunuliwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…