Ni uhusiano wa kimapenzi kati ya mwanaume na mwanamke ambao wamependana kiasi cha kuona umuhimu wa kuishi pamoja labda kwa maisha yao yote yaliyobaki hapa duniani kama watajaliwa kufanya hivyo na Mungu akiwajaalia wapate watoto wenye afya na akili nzuri.