Kwenye hii picha CCM na CHADEMA wakibadilishana position inarudia hali ilivyokuwa 2015, UKAWA vs CCM.
Kama yapi mkuu?Ife tu haina tija, chadema imebaki na kazi ya kupinga maendeleo.Kwanza siyo chama kile ni saccos tu inayowanufaisha wachache.
Hahahahaaa na hii picha ndo uhalisia wenyewe, ccm , cuf , Nccr makohozi na Tlp lao moja, ni kuhakikisha chadema inapotea kitu ambacho si rahisi kihivyo... chadema imejengwa moyoni mwa wapenda mabadiliko na maendeleo ya nchi yetu..View attachment 1469801
Mchoraji wa hii katuni awe macho na watu wasiojulikana.
Kingine namshauri aache uchcochezi.
Wasiojulikana wapo likizo ili turudie tena kosa October warudi kwa speed ya 4GView attachment 1469801
Mchoraji wa hii katuni awe macho na watu wasiojulikana.
Kingine namshauri aache uchcochezi.
Kwa tume ipi...!!! Hii ya akina Polepole.Majibu yapo October
Msije mkakimbia mtandaoni
kwani mnategemea kuwaadhibu magamba kwa tume ipi[emoji16][emoji16]Kwa tume ipi...!!! Hii ya akina Polepole.
Huyo siro kwa mbali Luna ndugaiNimeona ccm, nccr na cuf ila huyo wa nne sikumuona nani mwenye kumjua anisaidie
Kwani Mkuu Salary Slip nini alichodanganya mchora katuni huyo??View attachment 1469801
Mchoraji wa hii katuni awe macho na watu wasiojulikana.
Kingine namshauri aache uchcochezi.
InawezekanaHuyo siro kwa mbali Luna ndugai
+NEC+TISS+POLICE+Wasiojulikana+Mazombie, vyote hivyo ni kuizua CHADEMA isipate uungwaji mkono wa Watanzania wenye nia njema na nchi yao inayoporwa na CCM.Mchoraji angeongeza na vyombo vya dola
Wa nne ni vyombo vya dola.Nimeona ccm, nccr na cuf ila huyo wa nne sikumuona nani mwenye kumjua anisaidie